Deuteronomy 7:19

19 aMliona kwa macho yenu wenyewe majaribu makubwa, ishara za miujiza na maajabu, mkono wenye nguvu na ulionyooshwa, ambao kwa huo Bwana Mwenyezi Mungu wenu aliwatoa mtoke Misri. Bwana Mwenyezi Mungu wenu atawafanyia hivyo watu wote ambao mnawaogopa sasa.
Copyright information for SwhKC